Advertisements

Friday, August 5, 2016

Je una duka la vitabu au la bidhaa nyingine na wahitaji kuuza kitabu hiki cha Ushushushu?

Kitabu kuhusu taaluma ya uafisa usalama wa taifa (ushushushu) sasa kipo jijini Dar tayari kwa kusambazwa kwenye maduka ya vitabu sehemu mbalimbali nchini Tanzania.


Ninapenda kutumia fursa hii kuwakaribisha watu wenye maduka ya vitabu au wenye maduka ya baidhaa nyingine ambao wangependa kununua kitabu hiki kwa jumla kwa bei ya sh 8,000 kwa kopi kisha wao kukiuza kwa bei watakayojipangia wao. 

Pia fursa hii ni kwa wenye vibanda vya kuuza magazeti au wachuuzi wa bidhaa za mkononi. 


Kila mnunuzi atapatiwa kipeperushi cha bure cha "kinapatikana hapa"


Kwa manunuzi ya jumla ya kitabu wasiliana nami kwa barua pepe chahali@about.me au kwa Tanzania, namba 0754682554 au 0767216401 (jina la mhusika ni JOHN)


Kwa manunuzi ya rejareja, kwa sasa kitabu kinapatikana katika maduka ya vitabu yafuatayo (orodha hii ni endelevu, maduka mengine ya vitabu yatazidi kutangazwa baadaye)

Dar es Salaam

Mlimani Bookshop, Kariakoo 0754269042
General Booksellers, Mkwepu Str 0787368252
Zai Bookshop, Kariakoo 0754292532
Elite Bookstore, Mbezi Beach Tangi Bovu 
near Goba Road 0754767336

Moshi

APE Book, Rindi Lane, Opposite I&M Bank 0754767336

Mwanza

Gunda Bookshop near NHC Regional Office, Bantu Str Kemondo 0753969421
Victoria Bookshop, along Bantu Street, Kemondo 0755375034

Tanga

Hafat Bookshop, Barabara ya Saba, 0767216403


Musoma

Nyambusi Bookshop Opposite NMB Bank Main Branch, 0767578565


No comments: