Advertisements

Monday, August 29, 2016

Kipindi cha ONGEA NA SHANGAZI Aug 26 2016.....Mavazi


Katika kipindi hiki cha Ongea na Shangazi ambacho hukujia kila Ijumaa kuanzia saa kumi na moja jioni kwa saa za Marekani Mashariki (5:00pm), Shangazi Asha Akida-Abdul amezungumzia suala la MAVAZI
Karibu

No comments: