Advertisements

Friday, August 26, 2016

MPAMBANO WA POLISI NA GENGE LA UJAMBAZI VIKINDU

Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Simon Sirro
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Simon Sirro

Kuna ripoti za mapambano ya askari polisi na genge la majambazi eneo la Vikindu.

Kwa mujibu wa ripoti hizo genge hilo la majambazi linaongozwa na Kanali mstaafu wa Jeshi ambaye ni mlenga shabaha hodari.

Ripoti hizo zimesema Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Simon Sirro anaongoza operesheni ya kukabiliana na majambazo hayo.

Tutawapatia taarifa zaidi kadiri zitakavyopatikana

CHANZO:HABARI LEO

sikiliza hii mapambano mkali wa polisi na majambazi Tayari askari mmoja ameuawa
No comments: