Mwanajumuiya mwenzutu Dr. Temba amefiwa na mdogo wake leo huko nyumbani Tanzania. Tunazidi kufuatilia na tutawapa taarifa zaidi punde tutakapozipata.
Dr. Temba anapatikana kwa simu namba
347 489- 6532 Tunaweza mpigia na kumpa pole.
Mungu ametoa na Mungu ametwaa jina lake lihimidiwe. Amen
Gaston Mkapa
Kwa niamba ya uongozi NYTC
No comments:
Post a Comment