Advertisements

Wednesday, September 21, 2016

BARAKAH ASIPOKUWA MAKINI ATAPOTEA KWENYE GAME,,,,


 Barakah the Prince Hawezi kurudi katika Chati ya muziki kama alivyo kuwa kwa kwa mwanzo kipindi yupo chini ya Meneja kidi boy. Maneno hayo yamesemwa na msanii chipukizi wa bongo fleva anaetamba na ngoma yake inayoitwa Vanessa,,, Bexy wamusic akizungumza na vyanzo vyetu vya habari alisema kuwa Barakah ni msaniii mzuri lakinii alichokosea nikuhama na dharau alizoonesha kwa aliekuwa. Meneja wake Kid Boy ambae ni mkurugenzi wa Tetemesha rec huku akiamini kuwa bila kid boy Barakah asingefikia hapo kwa sababu ni msanii ambaee uwezo wake kiutunzi unajulikana wazi hana uwezo wa kutunga mashairi kama walivyo wasaniii wengine.

No comments: