Advertisements

Friday, September 16, 2016

BREAKING NEWS: WATANZANIA WALIOKUWA WAMETEKWA CONGO WAOKOLEWA

Madereva wa malori kutoka nchini Tanzania waliokuwa wametekwa katika nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo hatimaye waokolewa na vikosi vya jeshi la nchi hiyo. Madereva hao wameokolewa usiku wa kuamkia leo baada ya mapigano makali na waasi waliokuwa wamewakamata.

Hayo ni kwa mujibu wa waziri wa mambo ya ndani wa nchi hiyo ambaye ameiambia BBC kuwa wote wapo salama.

Mwandishi wa BBC wa eneo la mashariki mwa Congo Byobe Malenga ana taarifa zaidi.

Chanzo: BBC Swahili

No comments: