Advertisements

Friday, September 16, 2016

FLAVIAN MATATA KATIKA POZI NA TRUMP

Kushoto ni mwanamitindo wa kimataifa wa Tanzania, Flaviana Matata akiwa katika picha ya pamoja na mgombea urais nchini Marejani  kupitia tiketi ya Chama Cha Republican, Donald Trump, kulia ni Miss Albania 2010, Angela Martini.

1 comment:

Anonymous said...

Huu ni upumbavu mtupu, huyu bwana ni mpaguzi mkubwa, sielewi kama dada Matata analijua jambo hili. Wengi wanaomuunga mkono ni ultra white supremacies, sielewi umuhimu wa kuiweka picha hii katika blogu hii. Wabongo tuamke jamani.