Kushoto ni mwanamitindo wa kimataifa wa Tanzania, Flaviana Matata akiwa katika picha ya pamoja na mgombea urais nchini Marejani kupitia tiketi ya Chama Cha Republican, Donald Trump, kulia ni Miss Albania 2010, Angela Martini.
1 comment:
Anonymous
said...
Huu ni upumbavu mtupu, huyu bwana ni mpaguzi mkubwa, sielewi kama dada Matata analijua jambo hili. Wengi wanaomuunga mkono ni ultra white supremacies, sielewi umuhimu wa kuiweka picha hii katika blogu hii. Wabongo tuamke jamani.

Post a Comment