Advertisements

Tuesday, September 20, 2016

JWTZ COMMANDO Ni Hatari Duniani Itazame Hii Kwa Makini

4 comments:

Anonymous said...

Hebu tuacheni utani!! Hebu wapeleke huko Afghanistan na Iraq tuone wangapi watarudi. Hii nyimbo ya kutishia Upinzani na sio lolote! Mazoezi makali ya jeshi sio haya! Utaalamu, technics na ugunduzi! Sio mbaya baadhi tunazo ila hii video haileti hamasa ya uzito unaofahamika. Asante.

Anonymous said...

hao ni JKT mafunzoni wazee wenyewe hujawaona mr/mrs anonymous said... angalia vizuri clip komando ni wimbo uliotumika friend

Anonymous said...

This is a joke kelele nyingi walichofanya hakuna hii ni aibu, sizani kama wanajua hata kuogelea zaidi ya kurukaruka na kukimbia

Anonymous said...

Ni vizuri kuwa positive badili ya kutanguliza siasa. Mazoezi ya jeshi yanausiana nini na siasa.