Usikose kujiunga nasi
kwenye kipindi cha JUKWAA LANGU, Jumatatu ya Septemba 26, 2016 saa 11 jioni kwa saa za Amerika Mashariki,
tutasikia moja kwa moja toka kwa wagombea wa nafasi za uongozi wa
Diaspora Council of Tanzanians in America (DICOTA).
Pia utapata fursa ya kuuliza maswali na kujua utaratibu mzima wa uchaguzi na muhula ujao wa uongozi huo.
Ni
katika JUKWAA LANGU, kinachorushwa toka Kilimanjaro Studios na kusikika
kupitia www.kwanzaproduction.com ama Vijimambo Radio katika TuneIn.
Wajue wagombea http://bit.ly/2d8nK5e
Sikiliza tangazo la kipindi hapa.
No comments:
Post a Comment