Advertisements

Thursday, September 22, 2016

KWETU FASHION ILIVYOWAKILISHA MAVAZI YA KIMASAI KATIKA SHUKHULI YA East Africa cultural festival 2016 U.S.A.

 Vivazi vya Missy Temeke wa Kwetu Fashions vikiwa tayari kwenye onesho la mavazi la Utamaduni wa Afrika Mashariki lililofanyika Onley, Maryland siku ya Jumamosi Septemba 17, 2016.
 Missy T (kati) akiwa katika picha ya pamoja na models wake wakiwa na vivazi vya kimasai.


No comments: