Waziri
Mkuu, Kassim Majliwa akipokea hundi ya shilingi milioni 80 kutoka kwa
Balozi wa Pakistan nchini, Amir Khan (wapili kushoto ukiwa ni mchango
kwa waathirika wa tetemeko la ardhi mkoani Kagera. Makabidhiano hayo
yalifanyika kwenye hoteli ya Kyatt Regency jijini Dar es salaam Septemba
30, 2016. Kushoto ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika
ya Mashariki, Augustine Mahiga na kulia ni Waziri wa Elimu na Mafunzo
ya Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea hundi ya Shilingi milioni 50 kutoka kwa
Mwakilishi Mkazi wa Tasisi ya Aga khan nchini, Amin Kurji (kulia) ukiwa
ni mchango kwa waathirika wa tetemeko la ardhi mkoani Kagera.
Makabidhiano hayo yalifanyika Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es
salaam Septemba 30, 2016. Kushoto ni Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Augustine Mahiga na wapili kulia ni
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako. (Picha
na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi ya watu walioshiki katika tukio la kukabidhi jumla ya shilingi
190 ukiwa ni mchngo wa waathirika wa tetemeko la ardhi mkoani Kagera
kutoka kwa balozi wa Pakistan nchini Mhe. Amir Khan, Kaimu Balozi wa
China Mhe. Gou Haodong na Taasisi ya Aga Khan wakimsikiliza Waziri Mkuu,
Kassim Majaliwa alipozungumza baada ya kupokea mchngo huo kwenye hoteli
ya Kyatt Regency jijini Dar es salaam Septemba 30, 2016. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment