Advertisements

Thursday, September 15, 2016

MAKAMU WA RAIS AWASILI JIJINI ARUSHA LEO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suuhu akisalimiana na viongozi mbalimbali wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro, tayari kwa ufunguzi wa mkutano wa SARPCCO EXTRA ORDINARY MEETING kesho Septemba 16, 2016 katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa AICC, Jijini Arusha. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo.

No comments: