Advertisements

Sunday, September 18, 2016

Masanja Mkandamizaji kuhubiri leo Washington DC

Mtumishi wa Mungu Emmanuel Mgaya maarufu kama Masanja Mkandamizaji, ambaye pia ni Mchungaji Msaidizi katika kanisa la EAGT Mito ya Baraka jijini Dar Es Salaam, leo atahudumu katika kanisa la The Way Of The Cross Gospel Ministries lililopo Washington DC.
Huduma hii itaanza saa nane kamili mchana na anwani ya kanisa hilo ni
405 Riggs Rd NE  
Washington, DC, 20011

NYOTE MNAKARIBISHWA
 
Hii itakuwa ni mara ya pili kwa mtumishi huyo kuhubiri. Mara ya kwanza ilikuwa ni katika huduma yake ya kwanza nchini Marekani, Jumapili 07/07/2013 katika kanisa la THE WAY OF THE CROSS GOSPEL MINISTRIES (at University United Methodist Church)
Karibu uangalie mahubiri yake ya kwanza hapa chini

No comments: