Advertisements

Friday, September 16, 2016

MASANJA MKANDAMIZAJI AWASILI DMV KWA AJILI YA EAST AFRICA CULTURAL FESTIVAL SEPT 17, 2016

Tayari Masanja Mkandamizaji amekwishawasili jijini Washington DC kwa ajili ya tamasha hilo.
Hapa akiwa uwanja wa ndege punde baada ya kupokelewa na mwenyeji wake Okoka Sanga
ANUANI NI
16227 BATCHELLORS FOREST ROAD,
OLNEY, MD 20832

No comments: