Advertisements

Thursday, September 22, 2016

MAZISHI YA MPENDWA WETU JOEL LUGENDO MUHEZA TANGA

Wanafamilia, ndugu, jamaa na marafiki wakijumuika pamoja kwenye mazishi na mpendwa wetu Joel Lugendo aliyepumzishwa kwenye nyumba yake ya milele siku ya Jumatatu, Septemba 19, 2016 nyumbani kwa marehemu, Muheza Tanga.
Nyumba ya milele ya mpendwa wetu Joel Lugendo kama inavyoonekana kwenye picha.
Wanafamilia, ndugu , jamaa na marafiki wakishiriki kwenye maziko ya mpendwa wetu siku ya Jumatatu Septemba 19, 2016 nyumbani kwa marehemu Muheza, Tanga.

Maziko ya mpendwa wetu kwenye nyumba yake ya milele siku ya Jumatatu Septemba 19, 2016 Muheza, Tanga.
Dada ya marehemu Joel Lugendo(mwenye picha) pamoja na wanafamilia wengine wakijiandaa kuweka shada la maua kwenye nyumba ya milele ya mpendwa wetu.
Maziko ya mpendwa wetu yakiendelea.

1 comment:

John Mbatta said...

Pumzika Joel Lugendo. Umeimaliza safari yako.