Advertisements

Sunday, September 4, 2016

MINNESOTA PIA WALIEKEA KANSAS KUPEPETANA NA VIJANA WENZAO WA HUKO WKND YA LABOR DAY.

 Timu ya  Watanzania wa Minnesota ndani ya basi kuelekea Kansas kupambana na Timu ya Watanzania wa huko Kansas City. Timu za Watanznia Ughaibuni upemnda kufanya safari za namana hii ilikutengeneza mazingira ya urafiki kwani licha ya kuwa Ughaibuni lakini sote ni ndugu.

No comments: