Advertisements

Sunday, September 4, 2016

TIMU YA WABONGO WA HOUSTON TX WAFUNGWA 4-3 NA TANZANITE FC YA ATL, GEORGIA

 Timu ya Dsquad ya Watanzania wa Houston wakipata ukodak wa oamija kabla ya mchezo wao na Timu ya Tanzanite FC ya Watanzania wa Atlanta.
Ukodak wa pamoja wa timu zote mbili hii ni kuonesha kuwa wote ni ndugu.  Mchezo huu kati ya timu hizi matokeao ya Timu ya Tanzanite Fc ya Watanzania wa Atlanta walipata ushindi wa tamu tena wa kubahatisha wa goli 4 kwa 3. Timu ya Dsquad iliongozwa na wazawa ilitoa upinzania mkubwa zidi ya Tanzaniate Fc iliyokuwa na Nusu wa wachezaji kutoka mataifa mbali mbali.

Chama la Dsquad kutoka Houston TX njiani kuelekea Atlanta kucheza na timu ya Tanzaniate FC ya Atlanta, Timu hizo zitapimana ubavu wknd hii ikiwa nama kusheherekea Labor Day. 
Matokeo ya Mchezo huo tutawajua punde tu tutakavyo pata live kutoka dimba la Tanzaniate FC.
Timu Captain Muli yupo gado kuongoza Timu yake kuwashushia kipigo Tanzaniate FC,
Hapa chini ni ukodak zaidi

2 comments:

Unknown said...

Ebwana ee. Game illisha Atlanta 6 Houston 2. Bro acha kuandika kwa upendeleo maana this is the second time unaua timu ya ATL. Last yr you did same to our team, be fair na uandike ukweli. Hakunaga kubahatisha when mtu kapigwa 6-2.

Stricker said...