Advertisements

Thursday, September 8, 2016

MISA YA KUMUAGA MAREHEMU JOEL LUGENDO

Misa ya kumuaga marehemu Joel Lugendo yahudhuriwa na watanzania wengi waishio DMV na majimbo mengine nchini Marekani.Misa hiyo ilifanyika tarehe (3/9/2016) katika kanisa la Living Faith Lurethan Church mjini Rockville, jimbo la Maryland.
katika picha dada wa Marehemu, Bi Louis Mushi(kati)  akiwa katika majonzi makubwa ya kuondokewa na mdogo wake mpendwa.
Rev. J.Mbatta akiongoza ibada hiyo ya kumuaga marehemu Joel Lugendo ambaye alifariki saa tisa alasiri,Jumatano ya tarehe 24 Agosti 2016 nchini Marekani
.Bwana Richard Mawenya(rafiki wa familia) akisoma neno la injili wakati wa ibada hiyo.
Mpwa wa marehemu Joel, ajulikanaye kwa jina la Samwel Mushi akisoma neno la pili la injili katika ibada ya kumuaga mjomba wake.
Bi Poline Hoza(Mpwa) akisoma wasifu wa marehemu Joel Lugendo
Rev. Melkidezek Martulu akihubiri neno la injili katika misa hiyo ya kumuaga marehemu Joel Lugendo.
picha chini , baadhi ya wadau walioshiriki misa ya kumuaga marehemu Joel Lugendo

wapwa wa marehemu Bi faidhat Hoza (kushoto) na Bi Swaumu Hoza (kulia) wakifuatilia misa ya mjomba wao marehemu Joel Lugendo.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

1 comment:

Anonymous said...

Pole sana!!!!!