Advertisements

Friday, September 16, 2016

MKUU WA MKOA WA MOROGORO MH. STEPHEN KEBWE ATAMBELEA UPIMAJI NA UMIRIKISHAJI WA ARDHI KATIKA KIJIJI CHA DIHOMBO NA HEMBETI, MVOMERO.

Dr. Stephen Nindi(katikati) Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Mipango na Matumizi ya Ardhi Tanzania akimuelezea jambo Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mh. Stephen Kebwe walipotembelea eneo la upimaji.
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mh. Stephen Kebwe akipongeza hatua ya upimaji wa ardhi na kuahidi kuendelea kutembelea kuona maendeleo
Bw. Ally Amri(kushoto) ambaye ni Land Surveyor akitoa maelezo kwa Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mh. Stephen Kebwe namna zoezi la upimaji linavyofanyika
Christian Thomas(aliyevaa shati la blue) ambaye ni mwenyekiti wa kijiji akimwelezeaMkuu wa Mkoa wa Morogoro Mh. Stephen Kebwe namna zoezi la upimaji wa Ardhi lilivyo wasaidia
Viongozi wa Serikali na wadau mbalimbali wakiwa katika eneo la moja ya kijiji kuona jinsi shughuli za upimaji zinavyokwenda 
Hiki ni kifaa kiitwacho Real Time Kinematic (RTK) ni moja ya kifaa cha kisasa kinachotumika katika upimaji wa ardhi.
Bw. Charles Charokiwa Msumari(katikati) Afisa Mifugo Msaidizi Mkuu wa Tume ya Mipango na Matumizi ya Ardhi akitoa ufafanuzi kwa Mkuu wa mkoa wa Morogoro Mh. Stephen Kebwe alipotembelea kituo chao ambacho wanakitumia kukusanyia taarifa mbalimbali na shughuli zao


Baadhi ya wadau mbalimbali wakiendelea kufuatilia kwa makini maelezo 
Mtaalam wa GIS Theonest Mlolewe akimuonesha Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mh. Stephen Kebwe (hayupo pichani) namna wanavyofanya kazi.
Picha zote na Fredy Njeje/ Blogs za Mikoa

No comments: