Advertisements

Monday, September 19, 2016

MTANANGE WA SIMBA NA YANGA TORONTO, SIMBA YAIRARUA YANGA KWA TAABU 9-3

Timu ya Simba Toronto.
Timu ya Yanga Toronto
Mgeni rasmi akiikagua timu ya Yanga
Mashabiki wa timu ya Simba

Timu ya Simba imeibuka na ushindi mnono katika mtanange wa timu hizo uliochezwa wiki tatu zilizopita na timu ya Simba kuibuka na ushindi wa bao 9-3 na kujihakikishia ushindi mwaka huu. Timu ya Yanga wameomba mechi ya marudiano lakini Simba wamekataa wamesema Yanga mwaka huu wamelala nacho mpaka mwakani

1 comment:

Anonymous said...

Wachezaji Wa yanga mbona wachache kucompare na simba