Advertisements

Monday, September 19, 2016

WATANZANIA TORONTO WATAFUTA VIPAJI KWA AJILI YA TAIFA STRAS

Watanzania wanao ishi Tornto Canada wamejumuika pamoja na kuunda timu kwa jina la Taifa stars Toronto TST
Na mazoezi ya naendelea chini ya kocha Falcao.
Tuna tegemea kukusanya vipaji vya aina yote wazee na vijana na kuweza kufanya mashindano na nduguzetu waliopo USA na kufanya Bonanza la hali ya juu kabisa.
Hivi juzi tuli shiriki vizuri sana lakini hatukupata ushindi katika Youth East African Cup.

Kikombe kilikwenda Eritrea

No comments: