Advertisements

Saturday, September 17, 2016

NAPE ATOA WITO KWA WADAU KUTOA MAONI ILI KUUBORESHA MUSWADA WA SHERIA YA HUDUMA ZA HABARI WA MWAKA 2016

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa Michezo Mhe. Nape Nnauye (MB) akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) ambapo alitoa wito kwa wadau mbalimbali katika sekta ya habari kutoa maoni ili kuuboresha Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari wa Mwaka 2016 (The Media Service Bill, 2016) uliosomwa kwa mara ya kwanza leo Bungeni Mjini Dodoma, Kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji wa Serikali Bw. Hassan Abbas.

Baadhi ya waandishi wa Habari wakimsikiliza Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa Michezo Mhe. Nape Nauye (MB) katika mkutano aliufanya na kutoa wito kwa wadau kuboresha Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari wa Mwaka 2016 (The Media Service Bill, 2016) uliosomwa kwa mara ya kwanza leo Bungeni Mjini Dodoma. 
PICHA NA HASSAN SILAYO-MAELEZO

No comments: