Advertisements

Sunday, September 4, 2016

PICHA: KUTANA NA MWANAMITINDO WA KITANZANIA KAROLI MGOMBELWA ANAYEKUJA NA STYLE YAKE YA "MGOMBELWA BRAND"

 Mwanamitindo Karoli Mgombelwa(kulia) akitoa ufafanuzi kwa Mwanzilishi na C.E.O wa Samaki Samaki, Bw. Carosi(kushoto)kuhusu moja ya nguo analizozitengeneza mwenyewe na kuziwekea brand yake ya Mgombelwa. 
Karoli Mgombelwa ni mmoja ya wanamitindo wadogo walioanza kwa kazi hapa nchini kwa kuja kitofauti kwa mavazi ya kisasa aliyoyawekea brand yake ya Mgombelwa hakika tunaweza kusema Tanzania kuna kiwanda cha kuzalisha vipaji. Kama vijana kamahuyu watasimamiwa vyema basi tutegemee makubwa ndani na nje ya Tanzania
Mwanzilishi na C.E.O wa Samaki Samaki, Bw. Carosi akiwa kwenye mwonekano wa Mgombelwa Brand
  Msanii wa muziki wa Kizazi kipya, Linex naye amevalishwa na mwanamitindo huyo

 Msanii wa Muziki wa kizazi kipya, Ben Pol akiwa amevalishwa na Mwanamitindo Mgombelwa.

Sio kwenye mavazi ya kawaida pia hata kwenye mavazi ya Harusi
 Endelea kutazama picha zaidi hapa chini

No comments: