Advertisements

Friday, September 16, 2016

Shilole alivyowapeleka wasanii wenzake nyumbani kwao Igunga

2 comments:

Anonymous said...

nikupondeze shilole kwa kujenga mahusiano mzuri na wasanii wenzako, umetoka mbali mpaka kufikia hapo, hongera sana, pia nimefurahishwa sana na hisia zako zidi ya maisha ya watu wa chini, na ingelikuwa vizuri hizo gharama ulizotumia kuwaalika marafiki kwanza ungeanza kumsaidia dada yako japo kwa magodoro ya kulalalia ikiwa kwa vile kumjendea ni gharama kubwa, sadaka huanzia nyumbani, anza kwanza kuwasaidia hao ndugu kuliko kutumia gharama za ku jionyesha na marafiki ikiwa ndugu wanalalia magodoro yaliochaka na marafiki zako wanakalia kula chakula. BIG UP SHILO

Anonymous said...

Mtu kwao hata kama pangoni safi sana.