Advertisements

Saturday, September 3, 2016

SISTER CITIES YA DURHAM YAMKARIBISHA CHAKULA CHA JIONI BALOZI WILSON MASILINGI

Kushoto ni mwanzilishi wa Siter Cties of Durham Bi. Dorothy Borden akizungumza machache katika chakula cha jioni Sister Cities iliyomwanadllia Balozi wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania nchini Marekani, Mhe. Wilson Masilingi nyumbani kwake, Durham North Carolina siku ya Ijumaa Septemba 2, 2016, Kati ni Ronda Pierce mwenyekiti wa kamati  ya Sister Cities mji wa Arusha, miji mingine amabyo ni dada na mji wa Durham ni Durham ya Uingereza, Kostroma, Uru.si, Tayama, Japan na Zhuzhou, Hunan Province, China
 Mhe. Balozi Wilson Masilingi akiongea mwaili matatu na bwn. Gwenn Bookman ambaye ni Rais wa Sister Cities kwenye hafla ya chakula cha jioni iliyoandaliwa na mwanzilishi wa Sister Cities Bi. Dorothy Borden (hayupo pichani) nyumbani kwake Durham, North carolina. Mwingine ni mmoja ya wanachama wa Sister Cities akifuatilia mazungumzo.
 Afisa Uhamijai wa Ubalozi Bwn. Abbas Missana akibadilishana mawili matatu na wanachama wa Sister Cities of Durham, kushoto ni mkurugenzi Mtendaji wa Sister Cities Bwn. Brady Surles
 Mke wa Balozi Marystela Masilingi (wapili toka kushoto) akijumuaika na wanachama wa Sister Cities of Durham kwenye hafla ya chakula cha jioni iliyofanyika nyumbani kwa mwanzilishi wa Sister Cities, Bi. Dorothy Borden (hayupo pichani) watatu toka kushoto ni mwenyekiti wa jumiya ya Umoja wa Watanzania North Carolina, Bi. Gloria Alex.

No comments: