Advertisements

Tuesday, September 27, 2016

TANZIA MAREKANI NA NYUMBANI TANZANIA:



Bw. Shaaban wa Harman st Brooklyn anasikitika kuwajulisha kuwa amefiwa na mke wake Bi Valencia Hall Salum aliyefariki kingsbrook Jewish medical center tarehe 20/09/2016.
Maziko yanatazamiwa kufanyika siku ya jumanne tarehe 27/09/2016, Kuanzia saa tatu asubuhi.

ADDRESS:

house of hills, Inc 1000 st. Johns place Brooklyn, NY 11213

Kama ilivyo mira na desturi zetu za kufarijiana kwa tutakao jaaliwa basi tuungane na Bw. Shaaban katika kumsindika mkewe kwenye safari yake ya mwisho.

Kwa taarifa zaidi wasiliana na Bw. Shaaban kupitia namba ya simu

Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. Amen!

UONGOZI:
NYTC

No comments: