Advertisements

Thursday, September 29, 2016

TFF KUTEMBELEA WAJASIRIAMALI

Shirikisho la soka nchi TFF na vyama vya mpira mikoani wameombwa kutembelea vikundi vinavyojughulisha na uzalishaji wa vifaa vya michezo ili kuweza kuwaongezea nguvu katika utendaji wa kazi zao

mwanamichezo wetu Zuhura Zuheri kutoka iringa anataarifa zaidi

ombi hilo limetolewa na mkuu wa wilaya ya Iringa richard kasesela katika maonyesho ya siku moja ya bidhaa zinazozalishwa na wajasriamali wa manispaa ya iringa na kusema kuwa mpira wa unaotengezezwa na kikundi cha wanawake cha TUHEGELYE kilichopo Ipogolo ni imara na inaweza kutumiwa ndani na nje ya nchi.

VOX......DC IRINGA RICHARD KASESELA

wakizungumza watengenezaji wa mipira hiyo ya miguu wamesema kuwa mipira yao imekuwa ikinunuliwa na watu mbalimbali hapa nchini ila changamoto kubwa ni upatikanaji wa malighafi.

VOX... MJASIRIAMALIHALIMA ABDALLAH

VOX.......MJASIRIMALI AGATHA JUMA

lakini wananchi wanazunguziaje uzalishaji wa bidhaa hiyo ya mpira wa miguu unaofaywa na kikundi hicha cha wanawake wa ipogolo .

MWANANCHI HARUNA KIKOTI

No comments: