Advertisements

Sunday, September 11, 2016

USIKU WA 4020 LOUNGE DURHAM, NC

Wadau wa Durham na vitongoji vyake wakijumuika pamoja 4020 lounge kwenye club iliyopo Durham, North Carolina.
Uncle Sichele na mama mwenye nyumba wake nao ndami ya mjengo.
Wadau wakipata picha  ya pamoja.
Mdau akipata pozi katika picha.
Wadau wakipata picha wengine wakiwa wametokea Massachusetts.
Wadau wakila hapi ndani ya 4020 Lounge.

No comments: