Advertisements

Wednesday, September 21, 2016

WATANZANIA WA CALIFORNIA WACHANGIA WAATHIRIKA WA TETEMEKO KAGERA

Watanzania waishio eneo la Bay area- Northen California, siku ya Jumamosi Septemba 17, 2016  kwa pamoja walikusanyika katika jitihada za kukusanya michango ya wahanga wa tetemeko la ardhi lilitokea uko kanda ya ziwa. Jitihada za kukusanya michango zinaendelea na mwitikio wa mkutano huu ulikuwa na matumaini. Tunaomba mungu aendelee kutupa nguvu na upendo ili tukamilishe zoezi hili na hatimaye tuwakilishe msaada wetu serikalini.
Watanzania wa California wakichangia waathirika wa tetemeko.
Watanzania wa California wakichangia waathirika wa tetemeko mkoni Kagera1 comment:

Anonymous said...

Big up California. Hakikisheni hiyo michango inawafikia walengwa.