WAZIRI MAHIGA APOKEA NAKALA ZA HATI ZA UTAMBULISHO ZA BALOZI MTEULE WA UINGEREZA NCHINI
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt.
Augustine Mahiga akipokea Nakala za Hati za Utambulisho kutoka kwa
Balozi Mteule wa Uingereza Mhe. Sarah Cooke na kufanya naye mazungumzo yalikita
katika kuimarisha shirikiano
kati ya Tanzania na Uingereza katika nyanja mbalimbali
za maendeleo. Tukio hilo lilifanyika Wizarani tarehe 16 Septemba, 2016.
Dkt. Mahiga akizungumza na Balozi Mteule wa Uingereza nchini, Mhe. Cooke mara baada ya kupokea Nakala zake.
Balozi Mteule Mhe. Sarah Cooke akizungumza huku Dkt. Mahiga akimsikiliza.
Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Itifaki Bw. James Bwana (wa kwanza kulia) akielezea jambo kwa Dkt. Mahiga na Balozi Cooke
No comments:
Post a Comment