Advertisements

Tuesday, September 20, 2016

Wema Sepetu- Sitaki Kusikia Team Wema, Niacheni na Maisha yangu Wengi Nyie ni Wanafiki

Wema Sepetu aitimua team Wema, 'mnaniharibia maisha yangu'
Muigizaji maarufu nchini asiyekaukwa na scandal, wema Isaac sepetu, hivi karibuni ameibuka na kuwataka wote wanaotumia mitandao ya kijamii kumsapoti( team wema) kuanzia Leo waache kwani hawajui na wamekua wakimuaribia sana maisha yake, mrembo huyo aliendelea kutiririka kuwa team hizo zimekua zikimgombanisha na watu wengi na kuwa asilimia nyingi ni wanafiki, hivyo amewaomba wote wanajiita team wema waache mara moja na waanze kutumia majina yao kwenye mitandao ya kijamii. 

No comments: