Advertisements

Thursday, October 6, 2016

Ana kwa Ana na Mhe Peter Serukamba.....Leo ndani ya Kilimanjaro Studio

Usikose kuungana na Mubelwa Bandio leo (Oktoba 6, 2016) saa kumi na mbili jioni kwa saa za Marekani Mashariki (6:00pm ET) katika mahojiano ya moja kwa moja na M'bunge wa Kigoma Kaskazini kwa tiketi ya CCM Mhe. Peter Serukamba.
Tutajadili mengi kuhusu Tanzania yetu ya sasa na ile tuitakayo, nawe utapata fursa ya kuuliza swali, kutoa maoni na hata kushauri.
Ni kupitia www.kwanzaproduction.com ama Vijimambo Radio katika TuneIn http://tunein.com/radio/Vijimambo-Radio-s221705/
Kwa walio Marekani na Canada, piga simu 716 746 0086 (saa 24) ama 240 454 0093 (tuwapo moja kwa moja studio)
Karibu KILIMANJARO STUDIO (bofya hapa)

No comments: