Advertisements

Friday, October 7, 2016

ASYA, KUPAMBA JUKWAA LA "PLUS SIZE FASHION SHOW" ZANZIBAR

Mama wa mitindo maarufu kama Asya Idarous Khamsin ataonesha mitindo yake 
kama mgeni mwalikwa kwenye "Plus Size Fashion Show" inayo tegemea kufanyika 
huko Zanzibar Jumamosi ya Tarehe 8 August 2016 katika Hotel ya Grand Palace.

Asya amejipatia Shavu hili,kupitia kampuni ya mitindo ya Zanzibar inayo tambulika 
kama "Style House" chini ya C.E.O Mama Titi ambaye anaishi uingereza.

Ingawa Asya anaishi Marekani lakini kwa sasa yupo hapaTanzania kwa 
ajili ya onesho hilo lenye dhumuni kubwa la kuchangia "Breast Cancer Zanzibar"
Mbali na Mama wa mitindindo, designers wengine pia watashiriki kikamilifu 
kwenye ufanisi Onesho hilo.

Special Apperance atakuwa ni mwigizaji Wastara Sajuki, Burudani itatolewa na 
Khadja Kopa. (Nyote mnakaribishwa).

No comments: