Advertisements

Sunday, October 9, 2016

HITMA YA BABA MZAZI WA ABDUL KIMARIO ILIYOFANYIKA OCT 8, ATLANTA, GA

Abdul Kimario akipata chakula baada ya dua ya kumuombea baba yake mzazi iliyofanyika singleton rd, Atlanta, GA
Ndugu, jamaa, na marafiki wakiwa kwenye utulivu mkubwa kabla ya dua kuanza 
Ndugu, jamaa, na marafiki wakiwa kwenye utulivu mkubwa kabla ya dua kuanza 
Ma Aunt waliojumuika kumuenzi baba Abdul Kimario 
Ashura, Jamila, Mariam wakipata msosi baada ya kisomo 
Wanajumuiya wa Atlanta 
Maandalizi ya chakula kabla ya kisomo cha dua za waliotangulia mbele ya haki 

No comments: