ANGALIA LIVE NEWS

Friday, October 7, 2016

Inaskitisha Sana; Said Aliyetobolewa Macho Hatoona Tena Maishani Mwake

1 comment:

Anonymous said...

Pole sana kwa mtihani uliokukuta ndugu yetu na usikate tamaa ya maisha, jua kuwa sote tumeumia sana kwa janga lililokupata,Mnyeezi Mungu yupo nawe na Insha Allah kila kitu kitakuwa kizuri mbele yako tena,maana penye shari kuna kheri mbele yake,Muweke Mola mbele yako kwa kila jambo na Mnyeezi Mungu atakupa wepesi wa kila jambo Insha Allah Ameen.