Advertisements

Thursday, October 6, 2016

JAGWA MUSIC MCHIRIKU KUTOKA TANZANIA


Jagw Music Mchiriku kutoka Dar-Es-Salaam Tanzania walikuwa New York City live siku ya Tar 5 Watanzania waliburudika na kujikumbusha za Uswaz kiroho safi. 


Mwenyekiti mstaafu bwana Hajji licha ya kutokuwa kiongozi tena lakini siku zote yupo mbele kwenye kila jambo linalokutanisha Watanzania hapa Hajji akipata ukodak baada ya show ya Jagwa Music kwisha.

Mwenyekiti wa Tawi la CCM New York Bw, Seif Akida akipata ukodak na vijana wa Jagwa Music



Mwenyekiti wa New York Tanzania Community Slyvester Mwingira nae akitapa ukodak na Jagwas.

No comments: