Advertisements

Thursday, October 6, 2016

TISHIO LA KIMBUNGA DUKA LA WALMART LAWA JEUPE

Wanachi wa Florida wakiweka mbao madirisha kuzuia kuvunjika kwa madirisha hayo kwa vitu vizito vitakavyorushwa na upepo mkali unaosafiri kwa maili 140 kwa saa ukuambatana na muvua.
Hapa Dula Makubeli wa Florida akizibiti madirisha yasije kupidisha upepo na maji yatakayo sababishwa na kimbunga hicho kinachotazamiwa kutokea maeneo ya Frolida.
Duka la Walmart jeupe kutokana na tishio la kimbunga vitu vimeamishwa.


No comments: