Advertisements

Thursday, October 6, 2016

Mahojiano na Mhe Peter Serukamba. Mbunge wa Kigoma Kaskazini Tanzania

Karibu na asante kwa kujiunga nasi
Oktoba 6, 2016, tulipata fursa ya kutembelewa studioni (Kilimanjaro Studio, Beltsville, Maryland) na Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini, Mh. Peter Serukamba.
Tumejadili mengi tu kuhusu Tanzania yetu
KARIBU

No comments: