Advertisements

Thursday, October 13, 2016

KUMBUKUMBU YA MAREHEMU MZEE JOEL UDOBA.

ILIKUWA SIKU, WIKI, MIEZI, NA LEO NI MIAKA 14, TANGU BABA YETU KIPENZI ULIPOTUACHA KWA MACHUNGU MENGI SIKU ILE YA TAREHE 14/10/2002, KATIKA HOSPITAL YA MOUNT MERU ARUSHA. UNAKUMBUKWA SANA NA FAMILIA YA UDOBA POPOTE PALE WALIPO KWANI HAUKUWA BABA MWENYE UPENDO TU, BALI ULIYEBARIKIWA UCHESHI, UKARIMU, BUSARA, NA HEKIMA. KIMWILI HAUPO NASI BALI KIROHO TUPO NAWE DAIMA.
HAKIKA TUTAENDELEA KUKUPENDA BABA NA KUENZI YOTE MEMA ULIOTUACHIA HADI HAPO TUTAKAPOKUTANA TENA PARADISO.

UNAKUMBUKWA SANA NA MPENDWA MKEO MRS. T. UDOBA, WATOTO WAKO WAPENDWA RACHEL UDOBA, FRANK UDOBA, BAHATI UDOBA, NA SECHELELA UDOBA. WAJUKUU ZAKO WAPENDWA THEO GODA, ADELA NOEL, EVA F. UDOBA, EVELYN F. UDOBA, HELLEN MAJESHI, NA EZE F. UDOBA. WAFANYAKAZI WENZAKO, MAJIRANI NA MARAFIKI ZAKO, WANAKUKUMBUKA KILA MMOJA KWA NAMNA YA KIPEKEE.

  BABA, DAIMA TUTAKUKUMBUKA!!
   ENDELEA KUPUMZIKA KWA AMANI.
BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA JINA LAKE LIHIMIDIWE MILELE.    
                                          AMEN.


No comments: