Advertisements

Thursday, October 6, 2016

MAJALIWA ATEMBELEA GEREZA LA MSALATO DODOMA


 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana  na Mwenyekiti wa Taifa wa Bodi ya taifa ya  Parole, Augustine Mrema baada ya kuembelea Gereza la Msalato kwenye Manispaa ya Dodoma Oktoba 5, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Askari Magereza baada ya kutembelea Gereza la Msalato kwenye Manispaa ya Dodoma Oktoba 5, 2016.
 (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: