Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akiongea machache kwenye hafla ya kuaga mwili wa Meya wa Dar es salaam
wa zamani Dkt. Didas Masaburi katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es
salaam leo Oktoba 17, 2016.
Sehemu ya wafiwa kwenye hafla ya kuaga mwili wa Meya wa Dar es
salaam wa zamani Dkt. Didas Masaburi katika viwanja vya Karimjee jijini
Dar es salaam leo Oktoba 17, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na mkewe
wakitoa heshima zao za mwisho na kuaga mwili wa Meya wa Dar es salaam
wa zamani Dkt. Didas Masaburi katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es
salaam leo Oktoba 17, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na
mkewe wakiwapa pole wafiwa baada ya kuaga mwili wa Meya wa Dar es salaam

Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete
wakitoa heshima zao za mwisho na kuaga mwili wa Meya wa Dar es salaam wa
zamani Dkt. Didas Masaburi katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es
salaam leo Oktoba 17, 2016.
Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma
Kikwete wakiwapa pole wafiwa baada ya kuaga mwili wa Meya wa Dar es
salaam wa zamani Dkt. Didas Masaburi katika viwanja vya Karimjee jijini
Dar es salaam leo Oktoba 17, 2016
Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma
Kikwete wakiwapa pole wafiwa baada ya kuaga mwili wa Meya wa Dar es
salaam wa zamani Dkt. Didas Masaburi katika viwanja vya Karimjee jijini
Dar es salaam leo Oktoba 17, 2016
Makamu wa Rais Mstaafu Dkt Mohamed Gkalib Bilali, Katibu Mkuu Kiongozi
Balozi Eng. John Kijazi na Meya wa Jiji la Dar es salaam Mhe. Isaya
mwita wakitoa heshima zao za mwisho na kuaga mwili wa Meya wa Dar es
salaam wa zamani Dkt. Didas Masaburi katika viwanja vya Karimjee jijini
Dar es salaam leo Oktoba 17, 2016
Mama Salma Kikwete akitoa pole kwa wafiwa baada ya kuaga mwili wa
Meya wa Dar es salaam wa zamani Dkt. Didas Masabburi katika viwanja vya
Karimjee jijini Dar es salaam leo Oktoba 17, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli,
Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho kikwete na viongozi wengine wakiwa jukwaa
kuu katika shughuli ya kutoa heshima za mwisho na kuaga mwili wa Meya
wa Dar es salaam wa zamani Dkt. Didas Masaburi katika viwanja vya
Karimjee jijini Dar es salaam leo Oktoba 17, 2016
Baadhi ya Viongozi mbalimbali wa Kiserikali na Kichama wakiongozwa na Rais Dkt John Pombe Magufuli (wa tano kulia) wakiwa katika viwanja vya Karimjee mapema leo asubuhi kutoa heshima ya mwisho na kuaga mwili wa Marehemu Dkt Didas Masaburi,aliyefariki wiki iliopita katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili,wakishiriki
Baadhi ya waombolezaji wakisubiri kuaga mwili wa mpendwa wao Dkt Didas Masaburi
Baadhi ya viongozi mbalimbali wa chama na serikali pamoja na wananchi mbalimbali waliojitokeza kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa Marehemu Dkt Masaburi,mapema leo viwanja vya Karimjee,jijini Dar Es Salaam.
Sanduku lililobea mwili wa Marehemu Dkt Masaburi likiwasili katika viwanja vya Karimjee,jijini Dar kwa ajili ya kutolewa heshima za mwisho. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment