ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, October 30, 2016

Ujumbe wa Shilole Katika Birthday ya Bintiye Uko Hapa

Leo Oktoba 30, 2016 ni siku ya kuzaliwa ya mmoja wa mabinti wa mwanadada ambaye ni mwigizaji na mwanamukizi wa Bongo Fleva, Zuena Mohammed ‘Shilole’ aitwaye Rahma (pichani juu).

Shilole ambaye ni mama wa watoto wawili Rahma na Joyce ametumia akaunti yake ya Instagram kumtakia heri Rahma ambapo ameandika ujumbe ufuatao ukiambatana na picha;

“Happy birthday my super daughter Rahma wangu, genius wangu kiboko, kabisa ww ndo mkombozi wangu, mama enjoy ur day japo upo shule nakupenda sana Rahmanino wangu”.

No comments: