Advertisements

Tuesday, October 4, 2016

WAZIRI MKUU MAJALIWA AKUTANA NA MWENYEKITI WA BARAZA LA UDOM

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Gaudencia Kabaka kabla ya mazungumzo yao, Ofisini kwa Waziri Mkuu mjini Dodoma Oktoba 3, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu cha Dodoma(UDOM), Gaudencia Kabaka (kulia kwake) na ujumbe wake, Ofisini kwake mjini Dodoma Oktoba 3, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: