Advertisements

Thursday, October 6, 2016

WAZIRI NDALICHAKO AWATIMUA CHUO WALIMU WA MAFUNZO WALIOMPIGA MWANAFUNZI SHULE YA KUTWA MBEYA

Hatimaye Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Ndalichako amewafukuza chuo walimu waliohusika na kumpiga mwanafunzi wa kidato cha tatu wa shule ya kutwa Mbeya.

Mpaka sasa Mkuu wa Shule na baadhi ya walimu wamefikishwa katika kituo cha polisi kwa mahojiano kuhusiana na tukio hilo.

Chanzo: TBC, habari za mikoani

1 comment:

Gilbert Werema said...

Kuwafukuza tu is not enough, hatua za kisheria zinatakiwa kuchukuliwa. Beyond that wewe kama waziri wa elimu unatakiwa kutengeneza sera zitakazo saidia kupmbana na vitendo kama hivi.