Advertisements

Friday, November 25, 2016

AUDIO: RAIS MAGUFULI AONGEA NA MAKONDA LIVE AKIWA KWENYE MKUTANO WA WANANCHI

Tokeo la picha la magufuli apiga simu
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda amempigia simu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na kuongea naye ‘live’ akiwa katika mkutano wa ziara yake ya wilaya ya Ubungo ya kusikiliza changamoto za wananchi pamoja na kuzitatua.

1 comment:

Anonymous said...

Yaani safari hii ndiyo tumepata Rais ambaye anayejali wananchi wake kweli Alhamdulilahi,namuombea Mungu amjaalie Mheshimiwa Rais Magufuli Umri mrefu,afya njema na ampe nguvu ya kuwa jasiri na azidi kutatuwa matatizo ya wananchi na azidi kuwajali wananchi wake hivyo hivyo Ameen.