Advertisements

Tuesday, November 15, 2016

BASI LA SEKENKE EXPRESS LAPATA AJALI MKOANI MORORGORO

 Ajali imetokea asubuhi hii eneo la mkundi Morogoro. Basi la Sekenke express lilokuwa likitokea Dar kwenda kanda ya ziwa limehama njia likagonga mti na kupinduka na kugeukia lilikotoka. 
Kwa taarifa za mwanzo zinasema kuwa Mtu mmoja amepoteza maisha na wengine 11 wamejeruhiwa.

No comments: