Advertisements

Friday, November 25, 2016

BONDIA IBRAHIMU CLASS 'KING CLASS MAWE' AKWEA PIPA

Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' akiwa katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa julius nyerere kwa ajili ya safari yake ya kwenda Huxleys, Kreuzberg, Berlin kupambana novemba 29 mpambano wa marudio na bondia Zapir Rasulov baada ya lile la kwanza kushinda kwa point kule nchini Panama City, Panama na kurudi na ubingwa kulia ni msaidizi wa bondia huyo Joe Anena.
Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa Masumbwi Nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akiwa na bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' wakati alipo msindikiza bondia huyu uwanja wa ndege wa kimataifa wa julius nyerere kwa ajiri ya safari yake ya kwenda Huxleys, Kreuzberg, Berlin kupambana novemba 29 mpambano wa marudio na bondia Zapir Rasulov baada ya lile la kwanza kushinda kwa point kule nchini Panama City, Panama na kurudi na ubingwa 
Msaidizi wa Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' Joe Anena kushoto akizungumza na bondia huyo kabla awajapanda pipa kwenda Berlin
Kocha wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' katikati akiwa na bondia Ibrahimu Class kushoto na Joe Anena katika uwanja wa ndege wa kimataifa kwa ajili ya safari ya Berlin ya bondia huyo anaenda kuzipiga mpambano wa marudiano na na bondia Zapir Rasulov baada ya lile la kwanza kushinda kwa point kule nchini Panama City, Panama na kurudi na ubingwa 

No comments: