Advertisements

Monday, November 28, 2016

CHRISTMAS TOWN WILLIAMSBURG VIRGINIA NCHINI MAREKANI

Image result for christmas town williamsburg 2016
Christmas Town ni park iliyojengwa ndani ya Busch Gaeden iliyopambwa na taa zaidi ya milioni nane ambayo ndiyo inayoongoza kwa taa Amerika ya kaskazini. Katika mji huu wa Christmas umepandwa kwa mapambo ya kila aina ikiwemo miti ya Christmas, migahawa, maduka na wanamuziki wanaoimba nyimbo za Christnmas na hufunguliwa rasmi siku ya Ijumaa baada ya Thanksgiving.
CRelated image
Christmas Town ikipendeza kwa usiku.
Related image
Wadau mbalimbali wakishangaa uzuri wa Christmas Town.
Image result for christmas town williamsburg 2016
Christmas Town sehemu ya kuwapeleka watoto kwa ajili ya Christmas.

Image result for christmas town williamsburg 2016
Madhali ya Christmas TownRelated image

No comments: