Advertisements

Monday, November 28, 2016

CLARA NA MARCUS WALIPOSEMA "I DO" SIKU YA JMOS TAR 26 NOV, ATLANTA GEORGIA.

Jumamosi ya Tarehe 26, November 2016 ilikuwa ni siku ya furaha kwa wanandoa (Clara na Marcus) ambapo walitimiza ahadi yao ya ndoa na kuwa mwili mmoja. Harusi ilifanyika katika Hotel ya Kimataifa THE WESTIN ATLANTA AIRPORT, ATL GEORGIA na kuafitia na after party ICE BAR downtown Atlanta. Furaha ya Clara na Marcus iliongezeka saa sita kamili kwa kukata cake ya BIRTHDAY pamoja kwa sababu wote wamezaliwa tar 27, November!!! Vijimamboa inawatakia ndoa njema na furaha mpya ya siku ya kuzaliwa kwenu.
Clara Kabarani, " dress was designed by Linda (LB)" 
Mchungaji, wanadoa, na wasimamizi. 
Rachel Udoba, Jamila Dachi, na Salama liganga wakishuhudia tukio la ndoa. 
Neema Huckins akifuatilia kwa karibu tukio la ndoa 
Mama mdogo wa Bi harusi Jamila Dachi akiwa na bi harusi na birthday girl 
Clara alisindikizwa na mtoto wake Isack Karabani 
Ashura na Salama kwa raha zao 
Najat na Jamila waremboz 
Mama wa bwana harusi na Ma mdogo wa bibi harusi a.k.a wazazi wa maharusi 
Mama mdogo wa bi harusi Jamila Dachi kanagoje 
Alilounganisha Mungu binadamu hawezi kutenganisha. 
You may kiss your bride 
Announced as husband and wife 
Aunties and their hubbies 
Waalikwa wakifurahia jambo 
Theo na Salama wakipata pozi la pamoja 
Aunt Mimi akifurahi jambo na Alma 
Abdallah and Sajo (cameramen) 
Jamie and le wife Neema 
Rachel na Jamila 
menuz 
Lolo akisema jamno na Salama 
Rachel Udoba (Mwakilishi wa vijimambo blog) 
Our best designer Linda alikuwepo na mumewe na ndie alidesign vazi la bibi harusi. 
Clara akikata cake ya birthday 
Clara na mmewe Marcus wakilishana cake za birthday 
Jamila, Alma, na Patricia wakiwa na nyuso za furaha 
Aunt Fatma na pops 
Salha all the way from Canada 
Super Djz 

No comments: